![Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/05/ec979b7527fd4e4285c586312d17e970.png)
Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Mama - Chemical_Tz
...
Hello mama,
I hope uko ulipo umelala salama,
Nina mengi, maana sijakuona kitambo sana,
Kuna ninachomisi kama upendo wako ..mama,
Na bado nakuhisi kwenye ndoto kama jana,
Dunia imenifunza mamaa,
Binadamu si watu ni funza mamaa,
Aaah,
Nishafika nikakata tamaa,
Na bado walivunga wakanikataa,
And sad,
Muda mwingine siwez lala.. am sad,
Mama upweke ndo unanitawala, aa god,
Nimwone dakika moja ni sawa, nalaani
Kwanini uliondoka mapema sana,
Like then i remember that am bless,
Naamini unaniona huko juu unanibless,
Na najua, najua nakosa.. yeah am mess,
Am sorry mom but am trying do my level best,
And i miss u… ooh mama
I miss you …. Oooh mama
And i miss you…. Oooh mama
Yes i miss you ….oooh mama
Mama i miss you
Hi mom,
Mwanao walau nimeshakua,
Si uliniacha kichanga ila sasa najijua,
Na najua,
Dunia ni tambala nalifua, Linifae
Ili kesho mapema nione jua,
Aaah,
Shida nasahau sura yako,
Ulikua na dimpozi, tulifanana macho,
Je?…
Uzur nilonao hivi yako,
Au ndo husikii chochote nikisemacho,
Hey…
Kidogo nipate kumbato basi,
Uje hata ndotoni unitoe mawasiwasi,
Nabattle nikibattle na wewe kati,
Dunia ikiniliza unipanguse makamasi,
I wish,
Uone kidogo zangu achievements,
Neno am proud of you nisikilize,
I wish,
Nione tabasamu nilipize,
Nikutendee mema mama yangu nisikulize,
I wish,
Show me the way nikanyage,
Kwenye miba mguu nisiingize,
Maisha bado mazabezabe,
Nipambane waja wasiniumize,
I wish.
Mom…sijui kama unanisikia but i just miss you mom
And i miss u… ooh mama
I miss you …. Oooh mama
And i miss you…. Oooh mama
Yes i miss you ….oooh mama
Mama i miss you
Oooh mama
Mama, mama
Ayeiyeeei