![Sukari Cover](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/28/10ab5bc06374490ab226fe567e93b7ec.png)
Sukari Cover Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sukari Cover - Chemical_Tz
...
Yopapa mwanaruba ana mashine lover boy ni mjegeje eti washa taa na yuko hoi na nimuongeze so na washa koroboi kwa mshedede eti nishambaba kihome boi acha ateketee na machozi yanamtoka ajui aseme nn mpaka anaanza kulopoka ana deka anahis kama ananichocha nisijenikamwaga na sukari akaichota anangoja kugeuka kashanitia utamu shida gani kinyama cha hamu kimoja ndo nitakupa unataka vya haramu tena unataka kuninyonya mpaka damu ka vimper huyu chali sio zoombie akikosa sukar basi ndan ni ugomvi anaroho mbaya zidisheni maombi nitawachoma kweli alishasema mpaka mond