![Mi Corazon](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/26/58256b83d49d43679cefc378231eee40.jpg)
Mi Corazon Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mi Corazon - Official Abbey Mickey
...
Jesus mi corazon te pertenece(Jesus my heart belongs to you)
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Ulinipenda one time
Ukanifanya mwana katika ufalme wako
Nikapata father akanijaza na roho mtakatifu
Sasa niko huru ( huru huru huru, huru)
Sasa niko huru ( huru huru huru, huru)
Sasa niko huru ( huru huru huru, huru)
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Machoni pako hamna hesabu ya hatia zangu
Mikononi mwako hakuna ghadhabu juu ya matendo yangu
Napokuangalia naiona ishara
Nimesamehewa nawe
Nimesamehewa oooh eeh
Nishajua unanipenda we Baba
Nishajua unanipenda wewe tu
Nishajua unanipenda we Baba
Nishajua unanipenda oooh yeah
Nishajua unanipenda penda penda penda penda penda penda penda yeah.... whooooaaaa
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Jesus mi corazon te pertenece
Nishajua unanipenda we Baba
Nishajua unanipenda wewe tu
Nishajua unanipenda we Baba
Nishajua unanipenda oooh yeah
Nishajua unanipenda penda penda penda penda penda penda penda yeah.... whooooaaaa