![Umenifaa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/16/55b7cda00f53482c98aa09eb172dae4d.png)
Umenifaa Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2021
Lyrics
Umenifaa - Official Abbey Mickey
...
safari yangu
maisha yangu
uzima wangu
juhudi zangu
ziliambulia patupu.
ziliambulia patupu.
nilitafuta kile ningepata kujisaidia,
mama yoo ×3
nilitafuta kile ningepata kujisaidia
mama yoo ×3
nilijaribu wazazi, wazazi wakapungukiwa
nilijaribu mapesa, dhamana ikapungua
nilijaribu akili zangu, hekima ikapungua
nikiwa nawe mambo shwari ×2
aaah.. yesu umenifaa,
aaah,... wakati wa kiza kinene ×2
baba yoooyooh
na wale waganga wa kienyeji walinizungusha,
Ati meza hili , meza lile utasaidika ×2
Yesu we ulinifaa, wakati wakiza kinene ×2
aaah.. yesu umenifaa,
aaah,... wakati wa kiza kinene ×2
aaah yeah aaah.. baba yoyoyo yeah
nilijaribu wazazi, wazazi wakapungukiwa
nilijaribu mapesa, dhamana ikapungua
nilijaribu akili zangu, hekima ikapungua
nikiwa nawe mambo shwari ×2
yesu we umenitosha,
jibu la maisha yangu niwewe,
msamaha wa dhambi nilizobeba
maumivu moyoni nimekuachia baba eh
yesu we yesu wewe...weeeeh... baba yoyoyoyooooo, yesu weeeh