Never Give Up Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Never Give Up - Harmonize
...
Ai
Ooh no
Oh lord have mercy
Iyee iyee eeh eeh
Konde boy
Let me tell you my story
Nimezaliwa Mtwara, Tanzania
Huko kijijini Chitoholi
Hapa mjini nimezamia
Ndoto zilikuwa kucheza boli;
Mara ghafla kwa muziki zikahamia
My daddy Iam sorry
Swala tano hukupenda uliposikia
Kama utani si nikaanza kuimba
Mungu si Athumani,nikakutana na Simba; Akanipiga company
Japo kuna walo pinga
Kwamba sina kipaji
Fitina za ndani ndani mara 'Harmo' anavimba
Atapendwa na nani? Mmakonde wa Tandahimba
Nikajipa imani ipo siku nitashinda Maana Mola ndo mpaji
Eeeh
Now I make my paper (My paper)
And I bless my family; Pole walonicheka (Nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa, hangaika kila kona
I remember mama told me, my boy Binadamu hawana wema
Watakuchekeaga usoni
Ukiwapa kisogo wanakusema
Usihifadhi chuki moyoni
Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye hukumbuki huyaoni 'ndo maandiko yanavyosema
Nilimtanguliza Mungu kwa Swala
Mara ghafla kaja mzungu Sarah Ah
Thank you my beiby You love me, you support me I love you too
Shout out to my nigga Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa, I got love for you
Mnyama Mkali, Budda na Mcha chambo Waambie tunapita so mikono juu
Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga
Long way to go
Ila naiona afadhali, kulala uhakika
Na kula sio ka before
Debe kwa Azizi Ali, Mbagala, Tandika, Kimara na Kariakoo
Ghetto na kibatari
Kiangazi masika Ikiwa mvua vyote vyako
Now I make my paper (My paper)
And I bless my family
Pole walonicheka (Nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona
(Cheering)
(Cheering)