Magufuli Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Magufuli - Nuh Mziwanda
...
"Mimi ni mtumishi wenu, na nataka niwaambie, ndugu zangu siku moja mtanikumbuka, na mimi ninajua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania maskini"
Tutakukumbuka, tutakukumbuka oh Magu
Rais wetu roho ya kufanya makubwa
Mungu baba akulaze mahali pema
Inalia dunia sio tu Tanzania uhai umekwenda
Bali hatukuoni tena Rais wetu jembe Tanzania
Every step I take every move I make
Every single day everytime I pray
I am missing you
Thinking of the day when you went away
What a life to take what a bond to break
I am missing you
Yeah aah
Watu wanasema kwamba
Ukiwa na kitu huwezi jua thamani yake
Lakini kikiondoka ndo unajua umuhimu wake
Umeondoka mapema sana
Magu, I miss you
Every step I take every move I make
Every single day everytime I pray
I am missing you
Thinking of the day when you went away
What a life to take what a bond to break
I am missing you