Kanidokoa ft. Aslay Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kanidokoa ft. Aslay - Nuh Mziwanda
...
yeeeeee Mziwanda watsup
Aslay yeeeyee owaaaa
Tell me tell me why unanikosea (mmmmh)
Baby tell me tell me why unanioneaaga (mmmmmh)
(Viem)
Mimi najibana kuuza kuonesha nampenda ndomaana (lalaalaaa)
Kila siku ananiliza napoteza nyama kijana (lalaalaaa)
Namuonesha mapenzi Ila mwenzangu ajalii (ajalii)
kanigeuza ndezi kazima kibatarii
Kanifelisha Felisha Felisha maisha (eeehee)
Hupunguzi visa unzidisha (eeehee)
Ananikondesha kondesha kondeshaaa (eeehee)
Taratibu kabla sijafa kwa mawazooo
kisa wewe sijui chanzoooo
kunguru na mwewe tumekuwaaa
Na homa ya mapenzi mwenzangu anijali (anijali)
Nazidi kuzidiwa naitaji daktar (tariii)
Kanidokoa (ohohooho)
kanizuga zuga alafu akanidokoa jaman mupenzii
Kanidokoa (ooooh laLala)
kanizugaa zuga (kanidokoa) jaman kumbe mwiziii
Nasema kanidokoa (dokoo )
For alia Simba John bocko kichwa chote kina Waka Motooo
Mchumba anazivuruga ndotoooo
Nanisha mroga roga Sana ila hatujapatana
Mchumba ananichanganya vibaya anavyo fanyaaa
Kwenye penzi lake na tubu na yeye haoni hayaaa
Amenigeuza bubu nikimsema vibayaaa
Kanifelisha Felisha Felisha maisha (eeehee)
Hupunguzi visa unzidisha (eeehee)
Ananikondesha kondesha kondeshaaa (eeehee)
Taratibu kabla sijafa kwa mawazooo
kisa wewe sijui chanzoooo
kunguru na mwewe tumekuwaaa
Na homa ya mapenzi mwenzangu anijali (anijali)
Nazidi kuzidiwa naitaji daktar (tariii)
Kanidokoa (ohohooho)
kanizuga zuga alafu akanidokoa jaman mupenzii
Kanidokoa (ooooh laLala)
kanizugaa zuga (kanidokoa) jaman kumbe mwiziii
(Yayaya yayaya unanidokoa uuuuuuh ma mzungu kutoka nyamungoro yeee haa Wanda Aslay)