![Mwambie](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/17/0c714382819e49b3bf680a4815f74e62.jpg)
Mwambie Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwambie - alask simba
...
Ivi Mapenzi Ya nini Kwani
Na kipi nimekosa kisicho sameheka
Mimi mwezako nakupenda mama
Mimi mwezako nakuitaji honey
kuondoka kwako kunanitesa mama
Tambua bado nakuitaji
Ya nini kuondoka
Na kama nimekosa ungenieleze ili nitambue weweeh yeiyeeh
Mapenzi unapo yaota yanakuunguza eeh
Ukisha mpata upendae yanakutesa weh
Usinifinye niamini kuwa mapenzi ni upofu
Mwaambie uchungu wamapenzi unanitesa
Yeh
Namie mtajitaidi kuvumilia eeh
Mwaambie uchungu wamapenzi unanitesa
Yeh
Namie mtajitaidi kuvumilia eeh
kama kukupenda nilikupenda mama
Au mapenzi yangu yamekukwaza honey
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni kukupenda weh
Sasa nimpende nani wakati haupo weh.....
Nimakuwa kama mtoto nalia machonzi
Ayaniishi mashavuni eh mapenzi changamoto naumia
Tambua bado nakuitaji
Ya nini kuondoka
Na kama nimekosa ungenieleze ili nitambue wewee yeyeh
Mapenzi unapo yaota yanakuunguza weeeh
Ukisha mpata upendae yanakutesa weh
Usinifinye niamini kuwa mapenzi ni upofu
Mamaaa eiyeh
Naumwaambie uchungu wamapenzi unanitesa yeh
Namie mtajitaidi kuvumilia eeh
Mwaambie uchungu wamapenzi
unanitesa yeh
Namie mtajitaidi kuvumilia eeh