Love Me Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Love Me - alask simba
...
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,mama
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, uliponipenda sasa mama
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na. X2
maumivu yake ndani yangu
KORASI
Love me
Je t’aime de tous mon cœur
Love me baby
Achana na by anzu record
Love me
Je t’aime de tous mon cœur
Love me
Achana na sermo bi
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua
kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka
moyo na akili yangu pia.
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na. X2
maumivu yake ndani yangu
KORASI
Love me
Je t’aime de tous mon cœur
Love me baby
Achana na by anzu record
Love me
Je t’aime de tous mon cœur
Love me
Achana na sermo bi