Mguu Wa Kutoka Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mguu Wa Kutoka - Nyandu Tozzy
...
kong
konyagi simba, ? shifta,unywa lika,
i do it all, gongo shisha,chibuku shifta
unywa lika, i do it all
kwangu mitungi mingi imejaa store,
(wooh! wooh! wooh!)
nisipogonga lika mwili unashock,
(basiii), nipeshot niweze talk tik tok
kulewa raha aku siwezi stop! hasa n'kilewa nakuwa busy
everything easy
nyumbani wacha n'pitilize
everything easy
jana kidogo nijilize,nijilize
kivipi mwizi nikimbize,nikimbize
(rrrrrrrrr!!!!!)
tumeshafika kwa mama muuza geng'
(geng' geng')
lete tulivyo kama tulivyo gang
(gang gang)
tukishalewa tunaondoka gang
(gang gang)
siku hizi bwana raha kulewa geng'
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
26 life tukienda mitungi shazi,
tuko smart daily, iyo mbona iko wazi,
ni party na love, watoto wazuri wanashow
mapendo (basiii)
tupo high high tunakunywa vyombo,
tumeshafika kwa mama muuza geng'
(geng' geng')
lete tulivyo kama tulivyo gang
(geng' geng')
tukishalewa tunaondoka gang
(geng' geng')
shusha mitungi vitu vikali tunapombeka gang,
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka
mguu wa kutoka