![26 Life](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/16/2d710be3902146209bc6dbd140be7d49.jpg)
26 Life Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
26 Life - Nyandu Tozzy
...
hahhahahaaa.....26 lifeee
Verse 1
kino keys stand upp..skia
26 hatubui
na ndo maana tukikutana na mabishoo madem zao hawachomoi
na tukikujua ni fake mikausho mikali ka toy
rest in peace loy ..bukuku
watoto wameacha rap siku hizi wanacheza viduku
rabel zimekuwa cheap wanasainiwa na chips kuku
vifua vikubwa wanaenda gym kumbe mambo iko huku..
life imekua doja.
mpaka wanaume wamejunga vikoba
round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua soldier
like bah..bah naua mmoja mmoja
siku hatunywi bar tenaaa
coz home kuna kaunta guess who back tena
mwanangu gigy mpe henessyyy
vitu vimkolee atuoneshe masebeneee
watoto wazuri siku hizi hawataki talk talk wanataka mapene
they call me tozzy sela
flow zangu hela
26 juu bendela..
na nkifa naomba nzikwe kino no kubwela.....
Corus..
Hee ili goma likipigwa wanangu mikono juu..
wambie wao chekechea sisi ndo chuo kikuu
sasa .naitangaza namba..
26....
wauni nambaaa
26....
Hawajasikia nambaa...
26...
Oyaa wambie nambaaa....
26......
Verse 2
Kuna siri hatuwezi shair na dunia
Ukipotea ukaonekana kuikosea ile njia
kuogelea ina maana uliemuotea ashaumia
Kisichoelea huzama husisahau spair kutumia
Wakikutali kisiri unafki umeingia kwao
Siri ya wawili mmoja hafi ndo hubakia hujiachia...
Unapozikamatia wapo nyomi unawasaidia
Ukiishiwa vyako huwaoni wala kuwaskia...
Cha chapa ilale kwa mchawi chapa ni chale..
Cha chafya wale wanajifanya tapatapa hapa na pale..
Pa pata ama ukale kabla ya utata pata cha marley(Bob)..
Na kabla ujamkata paka papasa paka ka mkwale...
Ma rapper wakalae mtachokipata mtapata habari..
Mkinfata faster mtadata kwa sasa mkaka ni hataree..
Ma chacha cha chale pata au ika catch
Washa ashanale...
Kuwachapa sijali..Chapa tu lapa cha cha ilaleeee...
Staki umbea using'ate skio mi co hollyfield..
Nakemea ma cinema kwa mmea..Hollyweed...
Weka weka baharia ..mori uziidi...
Mi co mtu wa kuchk au kulia lia xory its fid...
Ni wazi mwenye njaa hana miiko...
Hakuna msafi hata mnafki anafaa wito..
Ikijaa punguza acha kukataa maandiko..
Ukiona haki inakiukwa ujue ndo saa ya mabadilikoo....
Reapated Corus.
Iligoma likipigwa wanangu mikono juuuuuuuu...........................