![Magwiji ft VDJ Jones,Mbuzi Gang,Sosuun,Harry Craze,Cityboy,Kalonje,HushBK.](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/11/35c25b455cd44afbb8aa24ea01ee6924.jpg)
Magwiji ft VDJ Jones,Mbuzi Gang,Sosuun,Harry Craze,Cityboy,Kalonje,HushBK. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Magwiji ft VDJ Jones,Mbuzi Gang,Sosuun,Harry Craze,Cityboy,Kalonje,HushBK. - Mavo On The Beat
...
?????????????????
so unajuatu ni nani
yani niko manguai mpaka najiadmire
kila kitu inanibamba lakini nishateka mai
king kwa hii sin unaeza finya repeate
na vile nakaza beat nimepull up na genge
mature(kalonje uuuu magoroki)
kuomoka tiime tizi
nini wai ground nyi nyue ni misulu
shishima idumu
tukibonga nisumu
kitobe inagonga
wee sikizia majung'u(hahayaaa)
magwiji na machampe magwiji na maaa(shie!!!)
magwiji na machampa magwiji na maaa
magwiji na machampe magwiji na maa
huku ni machampe na magwiji tupu
hii trick kama kawa wasinid campaign
main event the rest wanarest kanten
one times adi hater anafeel some pain
kisimple boy uchungu kaburuwein(aiii)
tuna naheka wee ni gwiji na champe
acha kishasha bora wee unipe champe
msee wa power ukini need by a token
nisosun a.k.a ni sare tatu
ngoma mbili kwa wazito kotaona venye tunapiga wera jo akunakucha
hatupendi vihoja kavuka boda
I mean after this ni kuwin kuwin
alafu win ni fanya nafanya mami mi sitaki madrama niko juu ona hate na bado huko under men
mi ni bazu wee bado ni kijana take a chick queen buda punguza kujigamba
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
huku ni machampe na magwiji tupu
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
huku ni machampe na magwiji tupu
hujikika na gajiji nipiji bilanita kupedekal and all the call kunfu
unachotaka unapewa zote ni full mahewa nijuzi tuliwazima tukutukuu seti tupunguze mafua washa nduku chukuwa
bebe sasa sumbua magwiji tuna kamua vita zakitumbuwa moto nawasuguwa safi tusatanua (AAA) na zichukuwa
gaza na nduru lakini mi sikoks ni kama reggae no body can stop us
sipendi biff manzee jua ni makampes unanitega wee ni fun bila pampers sio mavoio ngoma imebeat najua bado huja get hii ni mavo on the sit sit son take a sit aki chora saba huku bado hako six
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
huku ni machampe na magwiji tupu
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
magwiji na machampe magwiji na maa
huku ni machampe na magwiji tupu
tunawapatia madheyos tunawabebea mambos tunawafanyia bila tundo kabis????????????!??!??Benito on the decks Ben Bella