
Why Lie ft. Kidum Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Why Lie ft. Kidum - Alphajiri
...
Yeeah Yeeeah
Moyo unagonga
Tena mbio mwili joto
Ishapanda inachoma nahema
Nijibu ndio sio
Ni jue kama penzi langu
inatosha ikiwa unatatizo sema baby
manake dunia mviringo
Because I love you (I love you)
Usiondoke I niumie
I still want you (I still want you )
Moyo wangu utulie
Girl I swear I don't lie
(I don't lie why lie)
Oooh look into my eyes
(I don't lie why lie)
Kwako mi siondoki mami I don't lie
(I don't lie why lie)
Oooh look into my eyes
(I don't lie why lie)
Uzuri wako mi siondoki mami I don't lie
Macho zangu zinakua kubwa
Nikishuku siku moja utaniwacha
Hisia hii inanitesa inanifanya kichwa kuniuma
Nakupenda hivyo bure
Usichanganywe na watu bure
Nakupenda hivyo bure
Nikotayari kujitoa mhanga
Siwezi kukudanganya
Wala kukuhanya
I swear to you in the name of mapenzi (eeeh)
I don't lie why lie (I don't lie)
I don't lie why lie
(Kwa nini nikudanganye my baby)
I don't lie why lie (I don't lie)
I don't lie why lie (wallah)
Girl I swear I don't lie
(I don't lie why lie)
Oooh look into my eyes
(I don't lie why lie)
Kwako mi siondoki mami I don't lie
(I don't lie why lie)
Oooh into my eyes
(I don't lie why lie)
Uzuri wako mi siondoki mami lie
Sitakudanganya (lie baby)
Ai ya nini why should I lie why (why baby)
Kwa nini nikudanganye my baby (lie baby)
Sasa mbona uondoke uniache mi niumie (why baby)
Siwezi kukudanganya my baby