
My Bae Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
My Bae - Alphajiri
...
navyoridhika nikikuona napokuoana
utamu wa moyo
Kama maradhi mi napona nikikuona
umekuchagua moyo
maneno yangu uliamini hukwenda
popote uliridhia sawa
hukusikilizaga wahuni ukawaacha hao wote ukaniona sawa
Baby lemme love you
love you
I cannot be without you (without you)
Hi Pete n ishara I love you (lov you)
uwe na jina langu
My baby ma baby
ma baby
ushaniteka teka
moyo wangu
My baby ma baby
my baby
Nanifuraha wewe
kuwa wangu
Nishajulikana
nishapatikana
Nishajulikana yeye
ndio wangu
nishapatikana
nishajulikana
nishajulikana
Mimi na wewe
ndio twajua
kile tunacho ndani
so baby come
and give me
your love
me nishakuweka moyoni
Wazazi wangu wako
waone nikikuchukua
chukua
ukinijia wakupambie
kwa maua
machozi ya furaha
laiti ungejua(ungejua)
Tukate keki leo
twajishauwa
baby lemme love you
love you
I cannot be without you
(without you)
Hii Pete ni ishara
ya I love you (love you)
uwe na jina langu
My baby ma baby
ma baby
ushaniteka teka
moyo wangu
my baby ma baby
my baby
nanifuraha wewe
kuwa wangu b