
Alla Allahu Izaa Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Alla Allahu Izaa - Ukhty Dyda
...
allah allahuizza wasaabi na luqira
allah allahuizza wasaabi na luqira
naulilia umatii kwenye kuiacha swalaa
naulilia umatiii wenye kuicha swalaa
ahuzunika rasulaaa wenye kuiacha swalaa
ahuzunika rasulaaa kwa kuipuuza swalaa
(chorus)*4
tumejawa na ghururiii twaitazama dunia
tumejawa na ghururiii twaitazama dunia
mafundisho ya rasuliii mbali tumeyaachia
mafundisho ya rasuliii mbali tumeyaachia
(chorus ×4)
uongo na kusengenyaa dhuluma imeenea
uongo na kusengenyaa dhuluma imeenea
watu bure wauanaa wanamuasi jaliaa
watu bure wauanaaa wanamuasi jalia
(chorus×4)
......
(chorus ×4)