Twaanza Salamu
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Twaanza Salamu - Ukhty Dyda
...
Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzina Leo siku adhimu harusi wazi wazi
(Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzi na Leo siku adhimu harusi waziwazi)
Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzi na Leo siku adhimu harusi waziwazi
(Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzi na Leo siku adhimu harusi waziwazi)
Wamefaaanya kazi ngumu katikaaa Yao makazi kumfunza itiramu katika yake mavazi
(Wamefaaanya kazi ngumu katikaaa Yao makazi kumfunza itiramu katika yake mavazi)
Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzi na Leo siku adhimu harusi waziwazi
(Twaanza salamu kuwasalimu wazaazi kwa kuwa lao jukumu kwa huyu wetu kipenzi malezi yaliyo matamu mtoto wakamueeenzi na Leo siku adhimu harusi waziwazi)
wakammpa na elimu ya kujuua yake kazii ili aaweze kudumu kwa muumewe kipenzi
(wakammpa na elimu ya kujuua yake kazii ili aaweze kudumu kwa muumewe kipenzi )
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Ukhty Dyda Twaanza Salamu MP3 song. Twaanza Salamu song from album Twamsifu Msifiwa is released in 2023. The duration of song is 00:09:19. The song is sung by Ukhty Dyda.
Related Tags: Twaanza Salamu, Twaanza Salamu song, Twaanza Salamu MP3 song, Twaanza Salamu MP3, download Twaanza Salamu song, Twaanza Salamu song, Twamsifu Msifiwa Twaanza Salamu song, Twaanza Salamu song by Ukhty Dyda, Twaanza Salamu song download, download Twaanza Salamu MP3 song