
Mwagia Ndani (feat. Maua Sama and G Nako) Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mwagia Ndani ft. Maua Sama & G Nako - Abbah
...
long time mi Niko nae, penzi kama limeanza Jana
sometimes ananikera eeh! nampea coz anawezana
mafisi wanajikoki wataka penzi langu hawalipati,ndo kwanza yeye ananipost kuolewa pambe itawacost yeeee teta nanee tumeshibana, eeee sa itakuwaje tukitenganaaaaa
tukiongozana si unaonaaaa
bibi na bwana si unaonaaaaa
tunavyo pendana si unaonaaa
mfupaa kwa nyama si unaonaa
heey boy i tell me what to do heeeyee
boy i get what i do eeeyeee
Chorus
aaaah mwagia ndani
Baba mwagia ndani
mapenz yote mwagia ndani
chakula cha watoto mwagia ndani
eee ee long mm niwe nae,, eeenh kwa nn ni cry,, baby high in the sky take me one to night,,
mangi ninaga pelemende ( eeeeee)
mti wangu una utam wa tende(awooo)
kanasemaga kanyaga twende (00000)
mama kapaga mendee ( awoooo)
nauza nyumba baa tukayumbe
baba yangu nyumb kum mjumbe
mtoto si mlindi kwa seng'enge
mgusee uchezeee za chembe
hapo ndo kinakuwaga kimbembe
kazi kazi na situmiagi tembe
mguu juu shut kulia ametulia
pass na pasia nakaweka kwa kifua
tukiongozona si onaonaaa
bibi na bwana si onaonaaa
tunavyo pendana si onanaa