Forever Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Forever - Mattan
...
Maaa forever maaaa
Mi nataka niishi na weweeeh
Maaa forever maaaa
Mpaka mwisho wa Mimi na wewe
Maaa forever maaaa
Mi nataka niishi na weweeeh
Maaa forever maaaa
Mpaka mwisho wa Mimi na wewe
Wenye upendo wa Imani wanadumu milele maishani
Napenda unipende kwa Imani msimamo wa kweli usiojaa afadani
Nitakupeleka unakotaka nini unataka kwa mama tutafika
Na siku ikifika tufunge ndoa mimi na wewe siku zote niwe na wewe
Ndipo nitasimama
Kulinda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama
Penzi lisiingie matatani
Ndipo nitasimama
Wote baby tuishi kwa amani
Ndipo nitasimama
Kulinda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama
Penzi lisiingie matatani
Ndipo nitasimama
Wote baby tuishi kwa amani
Ndipo nitasimama
Maaa forever maaaa
Mi nataka niishi na weweeeh
Maaa forever maaaa
Mpaka mwisho wa Mimi na wewe
Maaa forever maaaa
Mi nataka niishi na weweeeh
Maaa forever maaaa
Mpaka mwisho wa Mimi na wewe
Tuishi wote milele kwa raha bila kujali kelele zao
(sorry narudia)
Tuishi wote milele kwa raha bila kujali kelele zao
Tuwe makini na wale kamwe wasijeleta ndwele
Nitakupeleka kwa ndugu zangu wanyamwanga ukapate na ndumba
Na nyumba nitaijenga ili uniamini upendo toka zamani niliujenga
Ndipo nitasimama
Kulinda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama
Penzi lisiingie matatani
Ndipo nitasimama
Wote baby tuishi kwa amani
Ndipo nitasimama
Kulinda penzi liwe na amani
Ndipo nitasimama
Penzi lisiingie matatani
Ndipo nitasimama
Wote baby tuishi kwa amani
Ndipo nitasimama
Maaa forever maaaa
Mimi na weweee
Aaaaaaaah
Mpaka mwisho wa mimi na wewe
mmmmh maaa forever