Inatosha Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Inatosha - Mattan
...
inatosha wee sina ubaya na nimejifunzaa wee we Una mambo mbaya moyo wangu wee aya wee umeukomaza kwa mawe iyeeei aya wee mapenzi nawe sielewi aya we umeukomaza kwa mawe iyeeei aya wee mapenzi nawe sielewi sikua na namna kwa uliyo yafanya ulienda swadakta aiyo umbali na mimiii kukaa mbali japo na niliumia moyonii aiyaee ju wajua namna gani ulinitesa kisa ulijua udhaifu