![Zyambatane](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/27/23e3016f363d464b8a7c75b0e5ab0406.jpg)
Zyambatane Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Zyambatane - Ben C
...
Oooai mmm oooai
You know its, You know its, You know its Ben C again...
Zya ah aah Zyambatane
Zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
Niaje God mi ni yule boy wako nakupendagaa ningependa tuwe na small talk...
So unajua vile selfie mingi huwa nazipigangaa ni juu mi napenda mboto...
Na kila nikiseti pale kwenye Insta,
Ma likes kama zote uaga wananipa,
Na mi najua ni nini inawashika, hawajui Mboto moja ile shida uwa inanipa...
Noti ya Rent ninatafunia minofu,
Pale sarova ndio waone nimefika...
Photoshop JKIA na ma filter, nachachisha ndio waone nimefika...
Noti ya Rent ninatafunia minofu,
Pale sarova ndio waone nimefika...
Photoshop JKIA na ma filter, nachachisha, kwako sasa mi najipa...
Naomba tu mimi ziambatane
Naomba tu mimi ziambatane
Ninachoposti kwenye Insta na Real Life ziwe similar baraka zionekane
Naomba tu mimi ziambatane
Naomba tu mimi ziambatane
Ninachoposti kwenye Insta na Real Life ziwe similar baraka zionekane
Zya ah aah Zyambatane!
Zya ah aah Zyambatane
Zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
Zya ah aah Zyambatane
Zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
Nilijaribu Maisha Normal mi Yakaniboo...
Ma fans wakanitoka kama maji kwa kyondoo,
Nilirudi na Selfie za celebz canivore siimagine ma-followers wanione hustle juakali NO!
Ninakazana sana waone nina Pesa!
Wadhani kila siku mi uwa natesa!
Ndio ata Ocha kina Wafula Wekesa!
Waseme kwa majirani "kijana ameweza!"
Naomba tu mimi ziambatane
Naomba tu mimi ziambatane
Ninachoposti kwenye Insta na Real Life ziwe similar baraka zionekane
Naomba tu mimi ziambatane
Naomba tu mimi ziambatane
Ninachoposti kwenye Insta na Real Life ziwe similar baraka zionekane
Zya ah aah Zyambatane
Zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
zya ah aah zyambatane
Nimejichocha mpaka nimekuwa blind,
Mpaka sioni mwenyewe najirewind,
Lenga vyote nimesema uniremind kwamba ninachohitaji ni uso wako tu kufind!
Nimejichocha mpaka nimekuwa blind,
Mpaka sioni mwenyewe najirewind,
Lenga vyote nimesema uniremind kwamba ninachohitaji ni uso wako tu kufind!
Tabia zangu na mienendo (Zyambatane)
Na nisemacho kwa Maneno (zyambatane)
Na nifanyacho kwa vitendo (Zyambatane)
Zya ah aaah (Zyambatane)
Ooh
Tabia zangu na mienendo (Zyambatane)
Na nisemacho kwa Maneno (zyambatane)
Na nifanyacho kwa vitendo (Zyambatane)
Zya ah aaah (Zyambatane)
Lax!