![Amen](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/08/f6b757e09e7c492291a0f90d17532f86_464_464.jpeg)
Amen Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
(You know it's) x3
Ben C again!
Verse 1
Tangu nikiri nimeokoka,
Shida zangu zanitoroka
Mambo yangu yananyoroka
Hataka sina motokaa
Ndani yangu nina ghorofa ya wokovu
Ninakuhimiza umfwatee...
Wokovu upate ee eeh eeeh
Usiteseke, utakacho unamwomba akupee eh eh
Kiri kwa imani (Amen)
Atatenda mwangu maishani (Amen)
Alivyombariki fulani (amen)
Baraka yangu I njiani
Kwa imani itabidi niseme
Chorus
Amen Mola atatenda
Amen atatenda
Amen! Mola atatenda
Amen mhhh kwa imani sema
Amen Mola atatenda
Amen atatenda
Amen! Mola atatenda
Amen mhhh
Hook
Amen
Amen
Verse 2.
Hata kama ni sina mapato Mungu atatenda mi ni yake manukato (Amen)
Ndege sijawai panda why lie but atatenda mi niwape bye bye (Amen)
Leo luku yangu ni kabuti, kesho ninang'ara Kwenye tai na masuti (amen)
Uwe mweupe ama mweusi, Mungu atatenda kwa warefu na wafupi (Amen)
Bridge
mfwatee...
Wokovu upate ee eeh eeeh
Usiteseke, mwombe akupee eh eh
Kiri kwa imani (Amen)
Ametenda mwangu maishani (Amen)
Alivyombariki fulani (amen)
Baraka yangu I njiani
Kwa imani itabidi niseme
Chorus
Amen Mola atatenda
Amen atatenda
Amen! Mola atatenda
Amen mhhh kwa imani sema
Amen Mola atatenda
Amen atatenda
Amen! Mola atatenda
Amen mhhh
Hook
Amen
Amen