Instructions ft. Country Boy, Salmin Swaggz, Young Lunya, Lil Dwin, Moni Centrozone & Deddy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Instructions ft. Country Boy, Salmin Swaggz, Young Lunya, Lil Dwin, Moni Centrozone & Deddy - Paul Maker
...
Na centrozone East zoo
Oh my God am so high oh my God
Nilianza Mimi ndio wengine wakafatia
so utakapo niona popote bwa mdogo amkia
We siuna chana mbona Ukiniona unakimbia
Ma performa floo zao zote zime fulia
Boom nawalipua bila petrol
nime wakaba koo kama roba za keko
wanajimbia wenyewe ka wanapiga nyeto
Kumbe wana Malaria floo
Mi ndio mseto (Yoo)
kwanza sijawai kuwa kawaida
napo Skiliza dundo la faida men I spit on it
too nit yaan too fit
Utajua wewe na wenzako Kama na fit in this (wooh)
Oh my God ! who is that ?
Wanauliza napita so hard kwa hili beat nimiujiza
Yaan ki rude bway ile ki hooligan we're
Hapa ni real fake niggas don't play near
Ofcourse me I badman shatta
VPN on washa data
Me I go me I go kill dem suckers
Mambo yapo ting tapatapa(Uwiii)
follow instructions (maelekezo maelekezo haya ni maelekezo maelekezo )
follow instructions (maelekezo maelekezo haya ni maelekezo )
follow instructions (maelekezo maelekezo haya ni maelekezo)
wooh
The others rapper wana floo like Aaanh
Mbona mi Nakataa Ulaya wamenishinda tusimame nyumbani Sasa
Speed 120 ni vumbi wanaonifata
wachache wamekaza ila niko mi spana tata
Kindumbwe ndumbwe utabebwa kindumbwe ndumbwe utasema mkali tu kumbe
mbona alikatwa na mjumbe kwenye nanii
Mi ndo mshindi wa kwanza nilisha onyesha kwenye maanii
Nabado na maintain kama upole na si fananii
And am stupid for this money am just run for my break
wananiita Maji ya baraka afusha what is that
if it's not about the money cannt i put in my head
kwa sababu huonekani nigga wame throw shade
mkwanja unafanya ni go piga mavitu matamu
make girls come for more all about Dow
Mara ni hapa Mara ni ooh
They said if you know you know
PS nipo na Paul Maker
Chorus ...
Aanh na Centrozone East zoo
Ukitaka macho matatu nabid utoke jicho moja
Sister duu huwezi kata Chigong'ota
Kwetu jicho la tatu lipo kwenye paji ndonya
Kipenz cha watu mi alwatan Joseph Matonya
Bora ushukuru bongo flava watoto wakali nao wanakuhusu
la sivyo Ungekuwa ghetto unampigia nyeto zuchu
Siku hizi naenda kama Mswati watoto wenye chuchu
Akili inarudi nikisha ejaculate pyupyuu
Tunaenda kama style Ya kijan
serikali kuu tunavyo ficha upinzani
Tuna uza sura tuna stanza mizani
utaona chura tu wametanda mezani
sa niko na Paul maker RIP Paul Walker
Natambua wanao niteta ni wale wale coworkers
Nipo toka enzi video watu wanafanya kwa Ogopa
Paka Mnyamwez ata Akirudi kwa mboka
Mi ndo golden boy Mapungo
Kaa u enjoy hiz tungo
mwanume si mwamini mtoi chukua hilo funzo
Kabla sija mkata kigoli na mnywea na fundo
afu sina story toka Jiji la Ngwea misunjo
chorus ....
Dem make like dis no more
who is this dont go
Mi natokea pande flan where your Geez don't go
Maskan nimezika rapa does your trees get grow
siku hiz kila anae niskia utasikia Dogo konyoo
Man am ill too ill ata naitaji tengwa
they ball dis shit kama naishi kwenye chamber
sio kama napenda sema rapa wakinigusa ni mapanga
nimekuwa nikisikiliza ngoma za Temba
Embu skia men am talking to this grand rapa
sound cloud rapa
underground rapa
main stream rapa and all other rappa
and I mean to kill you nigga kitambo sijatoa sadaka
then ring ring simu Inaita mchiz nikapokea
dwin miss you zangu kwako zinapotea
yeah this is over sema mema tunakuombea
nahisi imafika muda Sina budi kutembea
Then ring ring simu inaita tena nkapokea
Yeah men ni majani P naongea
Dogo minaona tu hawa rapa unawaonea
karibu Bongo record lin mjini unatokea. .
Chorus....
Paul
Ooh My
Sasa hiv nimekuwa mnoma
km bisibis maana nawachoma choma
tangia nimepata mchuma
namba wanaisoma soma
Mipango ya Mungu ishafanyika wenyewe mnaona
Nachana vitu vinachanika na hamwezi kushona
Yaan I'll be get money mpaka wananiendea kwa Mganga
I'll be get money mpaka wana nahisi mwanga
I'll be get money shashaa nazichanga
I'll be get money mpaka pisi zina jipanga
sa skia si ndo wa Downtown sa we utapendwa.
wenzako tuna pendwa na mtaa
kama wauza mkaa
pensi chafu balaa
sa we utapenya ila utatukuta tu(shaaa)
ma nigga siwez kuwa the same again
bagg bagg ma ass
chuki mbaya ukiionyesha I maintain Ma man
Leta za kuchekecha Nikuwekee wa mee
wana hawapendi makuzi wamemtema men
njaa kitu flan kilifanya nisionekane Mtaani
Pesa ikaleta machuki kama yote kama utani
level niliofika nahitaji pongezi sio mkali nani
Popote ntachana kibongo wamtafute Mkalimani.