Serikali Kuu ft. Big Sheshe, Young Lunya, Moni Centrozone,Zimaolaitan, Salmin Swaggz, Country Boy, Lil Dwin & Deddy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Serikali Kuu ft. Big Sheshe, Young Lunya, Moni Centrozone,Zimaolaitan, Salmin Swaggz, Country Boy, Lil Dwin & Deddy - Paul Maker
...
Serikali kuu
Young lunya
Flow na midondoko ni unyama
Wanaungana na nawafichaficha
Nahakikisha nawafcha wakileta
Flicha ustaa nao ukipoteza tu mapicha picha ndo mana mama enu simuweki wazi namfichaficha
Balaa balaa na mokers na chopers international na all stars ndoto ni kua na maisha yenye focus moni ila wallet ina cash na topers
Kutwa kucha mnapigana vijembe hutopata papai chini ya muembe sasa w jifanye ni chiz wa mirembe uniguse nkuchanechane na viwembe ukali na mistar mikal inajulikana na hapa ndipo haya mamistari inapatkan miwako inaonekan maunyunyu mengi qwa sana natoka na piss kali na bado njulikana
( Chorus )
Zima
..………
Chorus