
Chang'aa Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2020
Lyrics
Chang'aa - Iano Ranking
...
uuuuh
awyuse
Niko njugu na kajaba aluta
imeraruka hadi kichwa najikuna
No njugu na kajaba aluta
adi macho ziko kwa chupa
(siren on the beat )
ati ngango kigiso na chang'aa
zilishika nkateka sugarmummy
hii ngango kamwenyso na chang'aa
zilishika nkajikuta kwa jirani
ati ngango kigiso na chang'aa
zilishika nkateka sugarmummy
ati ngango kawenyso na chang'aa
zilishika nkajikuta kwa jirani
Ati niko juu ya whiskey na nusu ya kigiso
na vile niko tipsi nmekata mageso
zishanika zinanonyesha nkamyweso