
Zitoke ft. MASTAR VK Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2020
Lyrics
Zitoke ft. MASTAR VK - Iano Ranking
...
eeeh yeah eeeh 1960 eeh aaah eeeh yeah
afande siren on the beat
master leo tuzitoke
bana iano nakuja na mizinga tumochoke
sawa nataja kina shiro na nyaboke
wacha nakuja na mangoko kama wote
zitoke master tuzitoke qwarante lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke
master tuzitoke qwarante leo lazina tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke
master
leo ni kuzitoka buda kumochoka alafu nina rungu nazamisha nikitoka bongi kukachapa uezi pata nikichoka kejani ni manduru na masosi zaitoka koma utanipata oyole utanipata niko juu ya veve nashikisha na kashada mangeus wote waive juu nishazima data baby mama akinisika ashindwe kunipata niko juu ya kwebe na bado kuna ngoko ananirombosea ndethe na venye kuna njeve iano izo ngoma tuzichachishe kwa debe ka doba kakinice kashikishe tu na reggea
master tuzitoke bana iano nakuja na mizinga tumochoke
sawa nataja kina shiro na nyaboke
wacha nakuja na mangoko kama wote
zitoke master tuzitoke qwarante leo lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke master tuzitoke qwarante leo lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke
iano
sato tuzitoke sunday uokoke monday tuesday niteke wote wote weno lipa token thursday Friday kashike adi shoke na ona ule ngeus amekam nimrongoke ashanifinyia jicho anadai nimchote kwela ni ya Vera na sura ni ka ya node namteka ndaki na mzinga na magode aluta mukhombero na njugu seti uweke nugu kwanza unatoa nyege nashikwa na kutu nakumba tu shikwekwe nadai adi shikuku e i o u mi hupenda kucheza na deki kwanza akiwa juu achana na mafisi wana vako za uduu ye hupenda kaduudu du eeh kadudu du
chorus
master leo tuzitoke bana iano nakuja na mizinga tumochoke sawa nataja kina shiro na nyaboke wacha nakuja na mangoko kama wote tuzitoke master tuzitoke qwarante leo lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke master tuzitoke qwarante leo lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zito
master leo tuzitoke bana iano nakuja na mizinga tumochoke sawa nataja kina shiro na nyaboke wacha nakuja na mangoko kama wote tuzitoke master tuzitoke qwarante lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitoke master tuzitoke qwarante leo lazima tuzitoke kenya cane leo lazima tumochoke sato sunday tudance adi shoke zitoke zitok.....kadudu du kadudu du kadudu du
siren on the beat