![Pole ft. Otile Brown & Meddy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/07/67e84c4baadc4c1c9353207f63bdf6d4.png)
Pole ft. Otile Brown & Meddy Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Pole ft. Otile Brown & Meddy - Septa Carleef
...
Heeeee ii Heeeee ii
Onanananana
Eeeehee ii
Toto hodari umeumbika kisura shepu
Eeeehee Aki ya mungu unapendeza
Si ukideka kwangu we ndo number moja(moja, moja) ninakupenda na tena kwangu sio hoja(hoja)
Ntakudekeza beiby ndo maana twende polepole polepole , polepole
Penzi letu liwe polepole, polepole, polepole
Beiby twende polepole, polepole, polepole
Penzi letu liwe polepole polepole, polepole
Yaani ni mimi umeniweza, Sina mwingine
Yamini mimi watasema inawauma lovin'
Nataka tujue together (together)
Mimi na wewe (wewe )
Tena kwangu sio vilemwa(lemwa) hiki mwidomo twaicheza
Ni jana(Jana) ni juzi (juzi)
Babygirl umenichosha na matusi
Basi punguza uongoo, tafuta kisogo
Usinipime ubongo
Sipendi zako mchezo, letisha mentomento
Nakoroga wa kando, nitakoroga wa kwako
Napenda lavilavi, unadai moneyman (moneyman)
Polepole polepole
Penzi letu liwe polepole, polepole, polepole
Nataka liwe polepole, polepole, polepole
Penzi letu liwe polepole, polepole, polepole
Ni wewe bahati yangu si ni wewe
Mwenyewe nachotaka tu ni yeye
Kimwewe basi cheza tu kidede
Kimbelembele t'tapiga tu vigelegele
We ndo my number one thing
My African queen, my only pengting
Urembo uko uko deadly kwani niketi tena mafeelings
Kwako baby niko ready na hii mapenzi
We ndo my only,(we ndo mah only)
Na tena kwako mi ni chizi, bila mziki yaani riziki
(riziki )
Tuliaa(Tulia) ukiwa nami basi Tulia(Tulia) eeeh hii ni furaha (hii ni furaha) kuwa nawe si hii ni furaha (ni furaha )
Eeeeyeee iiii Eeeehee.. (eeeeheee)
Na mi ndo kalis
Once agaaai....n eeeeey
Onananana
Eeeeey, Eeeehee eeee
Oh baby polepole, polepole , polepole
Penzi penzi liwe polepole polepole, polepole
Basi polepole, polepole, polepole
Step bagatelle eeeeeeyeeeii