![Love language](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/26/737cc0f4749c4aca995ed2cd39b7b1e0H3000W3000_464_464.jpg)
Love language Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
Love language - Septa Carleef
...
mmmmh, aaaaaah, carleef on this....one in a million, million, hapa sioni kilio, kilio, ata walete vitisho, vitisho, wamezezao piriton piriton , hapa ni mimi na wewe tu, na wewe tu, milele daima wapinge tu wapinge tu natukirudi kitandani nifimbo tu nifimbo tu.nawakibeba zao mwili funga macho funga macho ..
yani minataka kupendwa na wewe, kupendwa nawe mwenzako mina taka kupendwa na wewe, kupendwa nawe, yani minataka kupendwa na wewe kupendwa nawe mwenzako mina penda kupendwa na wewe, kupendwa
(Mae to mara )x4
hapa nina hakii kuitwa na tamatii , kushikana mashatii yetu malavidavi I'm allover you, overyou.
yes, this thing is good, is good
oh mah gud oh mah gud ,am feeling her feeling her , nuh lemme talk lemme talk
effemituer, effemituer
in e mara, maraa jaber in mara,,,iyie iyie.
yani minataka kupendwa na wewe kupendwa nawe , mwenzako minataka kupendwa na wewe ,
kupendwa nawe yani minataka kupendwa na wewe kupendwa nawe , mwenzako minapenda kupendwa nawe, kupendwa nawe .
mae to mara , maraa, mae to mara,
wewe, kamasiwewe, mwenyewe , nibaki mwenyewe ,,ai my lover aaah eee ee