Pombe Sio Chai Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Pombe Sio Chai - Songa
...
waneneee...
..Yeah..
haiuzwi kwa under 18,
budah usije ukamponza mtoto..
ka una dose,
kunywa hata soda ndogo..
mdogo mdogo,
sio cret libaki empty, utajikuta bwana mdogo umelost, imebaki change..
ukaleta tu madrama,
kutapika ni upimbi..
tulisema tule nyama,
ukapiga magimbi..
ukalainisha na mtindi,
ukidai haipiti kooni sa ukitaka kuleta ugomvi utachapika kwa mlinzi,
pombe nzuri huenda na mangoma kwenye hewa..
warembo wakali pia nyama choma ka ngekewa,
ka ulikuja ukaona kawaida,
sa umeanza kuona kila waitre mzuri nenda home umeshalewa..
kama hujatosheka basi urudi na kesho.. ikiwa huwezi tungi cheki movie tu getto.. watu wanahave funny yan mpaka kunakucha,
wengine wameshalewa wanaita mama nakufa..
NASEMA POMBE SIO CHAI
POMBE SIO CHAI
NASEMA POMBE SIO CHAI
Tabaki kuwa juu ka liquid au pesa..
vyombo burudani,wala sinywi kwa presha
R.I.P zizy na machiz walosepa,
namwaga pombe chini,
mpumzike mkiveeshaa...
nafurahi kuona,
mnafurahi more than..
mwenye uchu kakuta binti kazima kwako na,
tupeane nafasi..
maisha yenyewe yapo kasi,
sister du cheza nami ila usinisearch..
niko busy na cash..
usiulize iko wapi...
jiulize uko happy..
na party..
na washkaji ambao upo nao kila wakati, acha nilewe kwani..
am so happy maisha ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi..
acha nilewe kwani..
am so happy maisha ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi..
NASEMA POMBE SIO CHAI
POMBE SIO CHAI
NASEMA POMBE SIO CHAI