![Unlimited](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/11/6D/rBEezlsXrJOAOwPJAACFLLVRbeo037.jpg)
Unlimited Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Unlimited - Songa
...
Noma records... kalo lete
aaah kama unifahamu,, me naitwa songa
eeeh singida ndo nyumbani ....Singapore
daka sadaka mashaka
mashaka na shaka
kwamba ni kweli ukimpa rangi paka atapaka
kwakuwa hali ngumu uchumi uchumi
kwaio chunga usije ukapigwa ngumi nyangumi
na ukiwa unatoka utoke na matoke sina uhakika kama kuna Kobe kwa kakobe
eeeh ni kweli songa nasonga kwa hiyo bado wakubwa mtakonda kwa anakonda
DJ choka na hajachoka bosi ana tai chini moka na namoka ,ganja na naruka kwanja bila mkwanja sasa muige mtapigwa sands kwa kusanda
napiga banda kwa kubanda
mwanga was kuwanga uwez kuja mi napanga nlipopanga
na napanda kwa kupanda ili mazao yakija niweze kuuza kanda na mkanda
zije pesa ninunue pamba za kupamba
nihame dar niende zangu Tanga na kutanga .ayaaaaaah
eyoooooo S.O.N.G.A the unlimited ,the unlimited,the unlimited
S.O.N.G.A the unlimited ,,,ayaaaaah ×2
Lala kwenye jalala, naskia kala Jeremiah, kapakwa kala kwenye makala
naitwa songa na bado nasambaza makala
sali kila Siku so lazima sala kwenye msala
jua Kali,utachungwa na mchungwa
utachungwa na mtumwa au utachungwa na mchunga
tunatunga tunaunga bila mpunga,
naona jamaa amepata punga bila mpunga
aah ila uwez changa mchanga ,,
kwahiyo itakuwa ngumu kumkuta kanga na kanga,,
ni kweli ninaemwabudu ni mungu inawezekana kukuta bubu na kibubu,,
chungu kichungu natema sumu kisumu,,
hali ni ngumu je utabeba dumu kidumu
na kidumu, mpaka wasaa utapotambaa na kushangaa kwamba kufika humu ni ngumu.
eyoooo S.O.N.G.A the unlimited,the unlimited,the unlimited.
S.O.N.G.A the unlimited aiyooooh........