![Bwege ft. Bright & Chidokeyz](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/BA/AD/rBEeM1yrVqyAOOitAACqIdmHJ2Y269.jpg)
Bwege ft. Bright & Chidokeyz Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2019
Lyrics
Bwege ft. Bright & Chidokeyz - Dj Seven Worldwide
...
kushoto.....kulia .........kushoto kulia. seven daughters sheee!
yaani kila ninapo mwona ee!
nguvu sina moyo unachoma ee!
natamani kumfwata Nona noma ee!
mzuri kwa mwingine sijaonaa ee!
nkimpata nitaduna ee......eee nitadu nae! mh mh mh! kiukweli naendana nae......eee naendana nae! siwezi peke Niko real nae.....eee Niko real nae mh mh mh kwa kesho na badae...eee badae
kama Niko vitani.....kila Siku mawindo ......sijui kabila ghani....ananivunja shingo!
kumfwata naogopae! mijasho ninatokae. kwangu Giza in nyotae sijiwezi nilinyotae. bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! bweghe! ( lord oone!) babe maker.........babe maker lonly eh eeeh swz filling ma kind fiber ko giving