![Solo ft. Ibrah Nation](https://source.boomplaymusic.com/group2/M1C/F3/D0/rBEeNF57FUaAJH81AABSq9aun9E336.jpg)
Solo ft. Ibrah Nation Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Solo ft. Ibrah Nation - Dj Seven Worldwide
...
young legendary
it's DJ seven maan wagwaan
baby baby smile for me smile for me
jua wewe ndiwe unayenipea mawazo mawazo
nakuwaza wewe 24 hrs×2 ila nlilichokukosea
nlishakuomba msamaha
ila ulinipotezea na kunitonesha donda
asali nlilo(tengeneza)×2 limekua shubiri
Kila ninapobe m (bembeleza)×2
bado haniamini
we dada×3
siwezi kubaki solo siwezi kubaki singo×2
aah kilichoniponza ni mdomo
ushanikweniza zogo
we ndo uliniweka kiporo
umeshuti risasi moyo
mashetani mi nna mashetani
nikikukosa we napandwa na mashetani
girl miss your body girl miss your body
na midomo yako kama ina sukari
asali nlio (tengeneza)×2
limekua shubiri
Kila nikim(bembeleza)23
bado haniamini
we dada×3
siwezi kubaki solo siwezi kubaki singo×2
(the mix killer)
siwezi kubaki solo siwezi kubaki singo×5