X Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
X - Godzilla (Tz)
...
Hey mom
Can I some coffee
I Get a business to Handle
Yeah
Okay Abbydad
Aah ye ye yee whatsup hommie
(all a snitch man )
Yeah
Mama go hard (uh)
Naenda next level na next level
Nakutana na new devil
Now you see
Me nacrapo on system na system
Inayohitaji uishi kma victim (ukibisha)
Utapigika ile vibaya kuna jealous
Na kamati za roho mbaya x2 (ukibisha)
So na-destop the peace kama VTP
Gusa death luwatani then RIP
I see mark hommie
Tryna make with me nina mungu by my side
Don’t talk to me So
Hata nikifa leo Destination Heaven
Rap yangu hommie You can hear my Pain
Hata nikifa leo Destination Heaven Rap yangu You Can hear my pain Ah
Hommie Let’s keep simple siri ziko wazi
Nani Kauza info (yeah ye)
(Chorus)
Naweka X kama unauza siri zangu
Naweka X jua we sio mchizi wangu
Naweka X kama unauza siri zangu
Naweka X (ye ye yea)
….. Mc kama vile controller nadeal na kila
Level mpaka wale backpoa uki-bring win
I need my dollar WestCoast inbuilding
Hommie say Holla
Meli ipo salama ipo bandari i say hili shughuli ziende so inabidi itembee
Usiamini hao rafiki they never been true
If you can change on me
They can change on you
Be humble my G
Take a move I swear
Usilete mbwembwe mwisho ukaishia
Kwenye wilchair unaomba msamaha
Don’t look like i care
Umeharibu michongo what get there
Hata ukisema nini you know I don’t mind
My crew on the sport X2
Hommie Let’s keep simple siri ziko wazi
Nani Kauza info (yeah ye)
(Chorus)
Naweka X kama unauza siri zangu
Naweka X jua we sio mchizi wangu
Naweka X kama unauza siri zangu
Naweka X (ye ye yea yea)
All the pray to God men
papa Benedict no 16
Wochaaaaaa binLaden
Written by: Chris Mnyama
Legacy of Kingzilla zizi