Milele ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Milele ft. Alikiba - Godzilla (Tz)
...
Kingzilla ft alikiba
......
Chorus
Nataka tuwe wote milele (milele)
We ndo binti wa kiafrika *2
Mi nakupendaaa (mi nakupendaaa)
Nikuelezee (nikuelezee) *2
Verse 1-Ali kiba
Mara nyingi napokwendaa dontown
I can see u around
Na marafikii daily
Wanajua we ndo mamaaa
Yelele yeleleee yeleleee mamaaa
Kingzillah
We ndo wangu toka before
Wengine nawaita no
Mapenzi ni marefu kama series za 24
Asubuh nikiamkaa we kwangu kama kioo
Kwenye kuvutia hadharani hata huoni soo
Nikiwa nawe najihisi niko huru
Hutetereki upo imara ka milima ya uluguru
Asubuh ukiamka unafanya kazi kama slave
Na hiyo ndo sabab inayokufanya ubaki pre
Baraka za baba na mama
Unazipata ile sanaa
Mi na wewe pamoja mpaka siku tunaoana
You know I got U mamaa
I got U mamaa
I seee u babyyy
Chorus.......
Verse 2
Usiku mzima deka baby wewe kwangu haukui
We ni kila kitu kwangu kama ulikuwa haujui
Nitakuvisha pete ikifika kesho asubuh
Najua kuhusu mimi walopita siwatambui
Wanaokusemaa usinune hiyo ni hakii
Piaaa ni memaaa
Wamezaliwa kusemaaa
Usijalii we ni special
Usiwaze leo uwaze kesho
Nakuhitaji zaidi ya instrumental
Nakupenda tokaa way back
Nakuhitaji zaidi ya poshii ama mayback
Huu ndo muda wa kutoaa posaa
Unapendeza hata ukipiga para kama ambar losa
Nikirud nakukuta umeweka ugali migebuka
Alagu umechili kwenye bed
Unasemaa If you want me I’m reaady