
Fungu La Mungu Sikosi ft. Jahazi Modern Taarab Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2020
Lyrics
Fungu La Mungu Sikosi ft. Jahazi Modern Taarab - Leyla Rashid
...
leila rashid -fungu la Mungu sikosi
kazi kazi ubinadam kaziiiii ......,
shuhur shuhur ubinadam shuhuliii .......,.
kauli ya mola silaa nzitoo alipangalo halishindikan ,
dua zenu na hila za jotoo
mimi kua neemani ata mkiona ngeleee nishajaliwa miee......
tena kazi zenu za bure na mjihudumiee ...
.....
....
....
jamn ubinadam una kazi kwl kwl ..
tena una kazi ngumu inashinda sumu Kali(×2)
roho zabinadamu in maisha mi nifeli ,ila kwa Mungu ni ngumu hana hiyo sampuliii..(×2)
kuchinja wapo tayariii nyama wafanye kafara nisiwepo duniani(duu! eeeh bwana eeh) .......lkn mola kaali haimshindi kafara waliloliaunii ( kaaz kwel kwel) ...(×2)
.........
.........
..........
ooooh Mungu kanipa kauli nzur niongee na waja kwann wasinipende eeeeh
aaaah kutoa changu sijali kweny tatizo la mja iweje roho zipinde eeh ...(×2)
kweli hamsalifiti mi sili ngozi ya futi la Mungu fungu sikosi iiiih
Nadhal ameafiki welulu wao wakuti hainifiki mikosi iih (×2)
pigeni zenu fataki aloandik hafuti ,waja hamna nafasi mola fitina hatak na ng'ara kila wakatii u umieni zenu nafsi (×2)
Naziamini amri zake namani ntapokea alichonipa manani nashukuru atakiwe kikombeni
ila la Mungu (fungu lake sikosi) ata mlizibe wapiiii( fungu lake sikosi ) ...(×2)
.........
.........
..................................
kauli ya mola silaa nzitooo, alipangalo ndilo litakuaaa (×2)
kizinditi cha manani ni mtihan kwa mja ata uwe maskini ,usiache kumtaja anayoopoa manani usitegemee mja
...kauli ya mola silaa nzitoo alipangalo ndilo litokuaa(×2)
Naamini kila siku fungu la Mungu sikosi kwa mchana na usiku namuamini kudusi ,ndio yeye kil siku ananiondolea mikosii
...(kauli ya mola silaa nzitoo alipangalo ndilo litokua)×2
.......
.......hehehehea achia nyonyo hiloo ,
........
........