
Kwa Hilo Hujanikomoa Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2020
Lyrics
Kwa Hilo Hujanikomoa - Leyla Rashid
...
Ulitaka kuniitia kiroho dunda lakini wap
Ulitaka kunitia kiroho dunda lakin wapiiiiii
Mola amenipa mmbora zaid anaenipenda anaenipendaaa!!*2
Kwa taarifa yako mie mtu na bahati yangu
Kwa taarifa yako mie mtu na bahati yangu*2
Kitu stara ndo vazi laguuuh!
Ndo uzima nuru alienipa Mungu*2
Ulindhani utanikomoa lakin wap lakin wapiiii
Umeshaulaa na chowaaaa*2
Sijaipata idhara tangu ulipomchukua
Kwa vile sina papala na mm nikakuachia *2
Mola kanimuadhara kanipoaa
Mwngne kaniletea kaniletea!
Mie njaa wa stara wa stara!
Kama hujanielew nielewa
Nimempata mmbora mwenye hadhi na muruwaa!!
Sasa nazid kung’ara tonge litakuingia *2
Kwa hilo hujanikomoa mamb yngu yananiendea nimempata mwngne natanua
Kwa hilo hujanikomoa maaan roho yangu imepoa mapenz motoo had rahaa *2
Kupata maajaaliwa nakupasha kabisaa ndo ulomchukua mbna anakunyanyasa*2
Kama bado hujajua hujajua!!!
fungu lako la kukosa la kukosa!!
Ruka upae elea elea!!
Uzibi yangu fursaa yangu fursaa!!
Mola kanijaalia kwa mapenzi natakasa
Huyu huba hazijua kanilewesha anasaa!!*2
Kwa hilo hujanikomoa