![Swaga Za Wapi ft. Maga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/14/167736535ee3431dbf6722183a6bd91f_464_464.jpg)
Swaga Za Wapi ft. Maga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Swaga Za Wapi ft. Maga - Octopizzo
...
maswaga za wapi nikifanya mnacopy
maswaga za wapi eeh officer kunihoji
maswaga za wapi eeh kuzozana kwenye ploti
maswaga za wapi wanasanya na haitoshi
me ni yule jamaa napenda madem
siwezi kaa bila kubongesha Toto
kula chako pekee, yako
Mimi Mimi sitaki chako eeh eeh
kinduku kiwake alafu mashukisha
kwa hayo machache napiga tequila
maswaga za wapi nikifanya mnacopy
maswaga za wapi eeh officer kunihoji
maswaga za wapi eeh kuzozana kwenye ploti
maswaga za wapi wanasanya na haitoshi
sema kenye unadai
niko Dubai
sema kenye unadai
niko Mumbai
sema kenye unadai
niko Shanghai
sema kenye unadai
kenye unadai nitabuy
changamka kila ngware
gizani hesabu zangu mita
Ramadhan nimetinga kaa rada na kitita
maswaga za wapi nikifanya mnacopy
maswaga za wapi eeh officer kunihoji
maswaga za wapi eeh kuzozana kwenye ploti
maswaga za wapi wanasanya na haitoshi
eeh mizani vina
ni gani sina
imbo me sina
zako za china
gizani me kichaa
maganji ni shida
uliza jina(pizzo deh)
me ni shida
kizazi kipya me ndo leader
swaga zenu zote pipa
kwenye boxer cheki FIFA
niko messi ki-La liga
maswaga za wapi nikifanya mnacopy
maswaga za wapi eeh officer kunihoji
maswaga za wapi eeh kuzozana kwenye ploti
maswaga za wapi wanasanya na haitoshi
yeee yeee yeee yeee
yee yeee
swaga za wapi
swaga za wapi
swaga za wapi yee
swaga za wapi
swaga za wapi
swaga za wapi yee