![Jaber](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/14/4b6a7b18225d48eaa35579fba4643941_464_464.jpg)
Jaber Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Jaber - Octopizzo
...
Intro : Octopizzo
8 Town
Pizzo De !
You Know It
Verse 1
Nabaki na taki wangapi wasafi mafisi walafi ee (ye ye ye)
Ufala sitaki hapa ni kazi na rada ni safi bruh
Kazana basi geuza Mavazi luku ni rasmi gyal
Hii riba siradi unaiita dzaddy baby touch me now ( touch)
Steam zimepanda nionyeshe kitanda baby fuck me now
Kumanga Kibanda nacross kiwakanda bonga na panther bruh (8)
Bridge 1
Suti piga pasi (ye)
Uber ita taxi (ye ye ye)
Rhumba tuko Dancing
Lugha Niko Thirsty
Zima hizo masti
Cheki Fiti Niko Ndani
Harusi ni Harusi
Mapenzi siyo matusi
Hook
Be My Wifey ye ye ye
Niwe hazi ye ye ye
Be My Wifey Jaber niwe hazi Jaber
Be My Wifey ye ye ye
Niwe hazi ye ye ye
Be My Wifey Jaber niwe hazi Jaber
To Ler Nyasoka to ger
Awer to Miel
Nyasore Oliel ( Chachisha)
Verse 2
Baba yao Baba yao ( Baba)
Mama yao Mama Yao ( Mama)
Baba Mama wako zao ( Weuwe)
Mi na boy wapendao ( ye ye ye)
Tangu juzi hauniguzi ( woo)
Dye Gucci Dye Coochie ( woo)
Mbuzi Beberu ( omera) P.I.Z.Z ni
Design we hutunga (Eeh) Design mi hudunga designers
Design nitakusuka , design we hushuka ni fine ass
( Bridge 2 )
Hips Juu chini thighland
Lips true hii ni lifetime ( Eeh)
WiFi ( Eeh) mi ni cyber
Wife fight nakulove don
Hook
Be My Wifey (ye ye ye) niwe huzzy ( da da da da)
Be My Wifey( le le le le)Jaber niwe huzzy
Be My Wifey Niwe Huzzy
Be My Wifey Jaber Niwe Huzzy Jaber
Verse 3
Pete Pete Pete Pete Pete
Vela seti seti seti seti
Maua lete lete lete lete ( leta)
Vua ni teke teke teke teke
Bridge 3
Tangazo hii ni Habari
Hoteli za Kifahari
Ni kote ka Banjari
Iliki nina mandhari
Taxin niko jaba
Washatii niko java
Lola kanyo nyiri thaga
Wanige lando apala sandaa
Hook
Outro
8 Town 8 Town 8 Town 8 Town Jaber
Ni Harusi Harusi Jaber