Tesa Tesa ft. Finesse Ngara Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2020
Lyrics
Tesa Tesa ft. Finesse Ngara - Mchina
...
ka hujajua jina bdo ni mchina
ii ndo mwaka unaeza buyia kadinga
wakibonga hawakujua nitashinda
magix enga on the beat
tumekuja kuwatesa i ni pg usijaribu kucencor
leta mambo ka uko na ajenda
na biz hatubongi jo ka haileti kapesa
tukiburn (tunatesa)
kwenye club (tunatesa)
adi mtaa (tesa tesa)
tukiburn (tunatesa)
kwenye club (tunatesa)
adi mtaa (tesa tesa)