Nampenda ft. Kim Swat & Addi Chokoch Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2020
Lyrics
Nampenda ft. Kim Swat & Addi Chokoch - Mchina
...
Mchina china man,kimswat adi chokoch rada gani
Nampenda mpenda mpenda,nani
Msichana mmoja,nani
Mweupe kidogo,brown skin
Anapenda bojongo,nani
Ahh,silali,kwa nini
Ahh sikunywi,kwa nini
Ahh sivuti,kwa nini
Ahh sinyongi kwa nini
(ahh checki) Hii ni story flani ya mapenzi gani juutoka joo ajipe sijui ata me n nani.Kamenijenga feelings na mabao za walami na siku hizi sio bae nakaita my honey(aah) so cheki wanatense wakituona pamoja juu tukitoka west wako east wanatungoja.Ati ndio tufinesse wabaki yu wakibonga ,lakini tuko best itabidi wamechoka,nataka nikutreat nikupeleke hoteli juu wee ndio my queen,sema wangu tu wa kweli,madawa nitache ndio nisikuweke lonely,my darling nipe kiss ndio nikushow my story,napenda joh for real nachanganywa na mapenzi i don't want you to leave nitapagawa na mafegi, I'm gonna keep it real ka periods za kila mwezi na najua unanifeel so lemme call you baby
Nampenda mpenda,nani
Msichana mmoja,nani
Mweupe kidogo,brown skin
Anapenda bojongo,nani
Ah silali,kwa nn
Ah sikunywi,kwa nn
Ah sivuti,kwa nn
Ah sinyongi,kwa nn
Me ni mapengo na nakula tako(awo),me ni mapengo swezi kula vako juu nimepiga toja kiraka ya kombato na ukitaka ndom nakupa moja kando,hizi matembe zimepikwa na kaparo na me ndio daktari wa manginyo na mandoko,ana mahaga hata kuliko za paron ka ni mapacha nitakula kidouble trouble(mmmh)
Walai zimeraerae sinyoree we ni dem nitolee(aah) walai zimeraerae nikuingize kayole nikupin vidole(aaah) walai zimeraerae godin,godin 47,walai zimeraerae(aah)adi chokoch rada gani
Nampenda mpenda,nani
Msichana moja,nani
Mweupe kidogo,brown skin
Anapenda bojongo,nani
Aah,silali,kwa nini
Aah,sikunywi,kwa nini
Aah,sivuti,kwa nini
Aah,sinyongi,kwa nini
Me nakapenda juu enyewe kanakuanga finest na juu me ni simba basi yeye lioness na design anatambua kwa bedi namrarua juu siku hizi kazi yanguni kutuma barua(aah) kila siku valentino me naleta maua zawadi mingimingi na maganji me nanunua na kama we ni fisi karibia me naua,ah karibia me naua(ahaa) kusukana siku hizi kwangu imekuwa kama hobbie na dem akijipa naingia bila hodi,juu enyewe me mauru lakina sina masilva na nyonyo alijipa juu alipata nikiiva(aahaa) na later me na yeye kwa mkono na majinva na dogo dogo tu ma area kuchoma sativa(aaahaa)
Nampenda mpenda,nani
Msichana mmoja,nani
Mweupe kidogo,brown skin
Anapenda bojongo,nani
Ah silali,kwa nini
Ah sikunywi,kwa nini
Ah sivuti,kwa nini
Ah sinyongi,kwa nini