Maumivu Per Day Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Maumivu Per Day - Alikiba
...
kwaile imani yaenzi za kale miniliamini ntakufa nawe
Ila mi sikulaumu wewe,kwan mungu ndiye mpangae
Yale yote ya zama za kale,mi nilipanga kuishi na wewe
mwenye hali nisiye na mali.wenye mali wakawa na ww
hukunificha matendo yako,machafu uliniacha nione
bila kujua yalisaidia nikazoea ile (?)
sababu bado nakwitaji,kwangu muhimu ni kama maji
cha ajabu bado nakwitaji,atakaye kutenda njoo kwangu mimi
yan maumivu per day (per day)
×8
Upo moyoni mwangu everyday,bado namwomba mungu everyday..upo moyoni mwang everyday (everyday ×2)
usikwaze wewe niwaze mengine,labda ntakuja penda mwingine.
Ninavyopat tabu ya dunia,na mwili wangu umekwisha pia..yote malipo ya kupenda mwishoye yatatendwa
Sababu bado nakwitaji,kwang muhimu ni kama maji
Cha ajabu bado nakwitaji atakaye kutenda njoo kwangu mimi
Yale maumivu per day
(maumivu per day ×8)