Kimasomaso Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2003
Lyrics
Kimasomaso - Alikiba
...
Kimasomaso mwanangu msimuone maso
Kimasomaso mwanangu msimuone maso
Mwanangu msimuone maso
Mwanangu msimuone maso
Mwanangu msimuone maso
Mwanangu msimuone
Mmm
Nimemuona mimi katoka kimaso maso
Uzuri anao na sura naitangaza hii leo
Waache waache wanafki leo mtajionea
Yaliyosemwa jana yamejirudia haya haya
Unalia nini mwenzako nishajenga nyumba
Ya kuishi sisi wawili tujenge tuwe na family
Waache wayaseme wewe leo uko na mimi
Natule hizi raha tusahau ya duniani
Mmm
Jana na juzi ya mama ya alah
Nilikatiza ile kona nikakutana na vijana
Eti wamenuna kisa mwenzao nishaoa
Ujana maji ya moto yata wakanda msipooa
Hivi punde nitaingia shamba na nitavuna nilicho panda
Kama ni dume dume la mbegu
Ally mashaalah
Nitazidi kumuomba mola anilindie mashaalah aaaee
Mwanangu msimuone
Wote msimuone, mke boraa, msimuone
Mashunge mwona, wote msimuone
Kipato shangununa wa mitaa msimuone
Mtuachee mtuache jamani msimuonee
Aaaa mwanangu msimuonee
Kimasomaso, msimuonee
Kimasomasoo, msimuonee
Mwanangu msimuone
Wote msimuone, mke boraa, msimuone
Mashunge mwona, wote msimuone
Kipato shangununa wa mitaa msimuone
Mtuachee mtuache jamani msimuonee
Aaaa mwanangu msimuonee
Kimasomaso, msimuonee
Kimasomasoo, msimuonee