![Karim](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/24/0b6291480d604633905d38153dc00940.jpg)
Karim Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2009
Lyrics
Karim - Alikiba
...
Mmh uuuh eeh linialiii.
Nilimkuta akinung’unika, Dunia imemtupa.
Kwa mola na malaika labda amekasirika YAKARIMAA YAMAULANAA AAH
Yalatifuaah
Ewe molaa
Alfajiri aliamka na kwenda kutafuta
Hakuna alichoshika mdomoni kuweka
Yakarim aah Yamaulana Yalatifu ahh
Ewe mola ahh ? ? ? ?
Alikiba?? In tanzania
Na sasa ni saa 7 ya usiku na dakika
Anasoma dua ya kulala asije dhurika(asije dhurika)
Na walimwengu wa sasa na vibaka
Alale salama ili kesho apate amka(apate amka)
Pembezoni mwa barabara Karim alilala eeh
Moyo wake ukijua riziki amekosa eeh
Na mapenzi kwa mola wake yako pale pale
Yakarim eeh ooh Yamaulana aah ahahah Yalatif aah Ewee mola oohohho
Alipita mama mmoja ni mfanyabiashara,
pembezoni kidogo mwa Karim alikuwa amebeba sufuria kichwani,
akajikwaa kidogo akaangusha chini,
Karim akishtuka toka usingizini,
akakuta chakula kimemwagwa chini,
Alifurahi sana milele, alishukuru mola milele,
Alimuomba mola milele milele, mola wa karim,wa latifu
Mola wa mola uliye juu, unayetupa vyote unayetuwezesha sisi viumbe wa dunia na ahera
Kwa ujumla ya karimu ooohohoo
Ya latifu wewee aahahahah Ewe mola Muumba wa dunia ulimwengu mzima aaaha oha oha ohaaa alikiba ? ? ? Tunatest eeeh ??? ???