![So Hot](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/63/E2/rBEeMV7WDiyAT91KAACjPyeHZzo807.jpg)
So Hot Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
So Hot - Alikiba
...
....
kimambo on the beat
yooo
Eeh kama bahati sandakalawe nimeipata kwakoo baby
usinichukulie poa I'm addicted to you baby
mi mti mwema nipigwe mawe sababu yako baby
wapinzani wananichora wananiona
umenipata imekwisha
haina utata wa kubisha
uje tukwee mapipa
tule bata gelesha
haina majoto haina
tukule mafoto kiaina
nikuvishe pete final
baby we wamotoo wamotooo
yo so hooot ×2
yo hot
yo so hoot
dunia we ndo bebe nataka
we ni nguli wa mapenzi sina shaka
kaka shemeji ushapata
wife material no haja ya talaka
tunao tunao wacha wapige domo tunao
siwapagi promo haoo,
ndo hatari achana nao
naona umenipata imekwisha
haina utata wa kubisha
uje tukwee mapipa
tule bata gelesha
haina majoto haina
tukule mafoto kiaina
nikuvishe pete final
baby we wamotoo wamotooo
yo so hooot ×2
yo hot
yo so hoot
ooh nooo
kwenye akili yangu baby unitawale unitawale
kwenye maisha yangu amani itawale itawale
we chaguo langu we unashinda wale unashinda wale
we ndo macho yangu leo naonaa
yo so hooot ×2
yo hot
yo so hoot