Halichachi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Halichachi - Doyen Rae
...
Ouhoo ooh uooh uoh ooouhoooo yeah aaah
Smile on it… that’s how you feel, eh that she how you feel,…Enhe
Nakuchora, nakupaka rangi unang’ara,
Sinyora, ukienda kwa mangi vaa ndala,
Kombora, usawa wa kati penzi chotara,
Sangoma, wanini mahututi nishalala enh yeah
Jamani najichunga, najifunga, hunioni baby wee,
Tena nimejifunza, kujivunga, nisikufanye uugue,
Kama nimejidunga, au maunga, mi kwako teja ujue,
Kama unanizuga, utanivuruga, utafanya niugue…
Maana Halichachi (Oyeeh) Halichachi (Bando letu la mapenzi)
Yani Halichachi (Eyyeah) Halichachi (Yaani haliishi kamwemwe)
Penzi Halichachi (Ouhoo) Halichachi (Bando letu la mapenzi)
Penzi Halichachi (Eyeah) Halichachi
Ukisusa nahisi vumbi, hakulaliki nakesha kama bundi,
Najivuta tu sijivungi, moyo wangu unapressure we ndo fundi,
Najikuta nala mitungi, mwisho kujichekesha sina budi,
Ukinisuta uongo situngi,nilikojipeleka siwezi rudi…
Jamani najichunga, najifunga, hunioni baby wee,
Tena nimejifunza, kujivunga, nisikufanye uugue,
Kama nimejidunga, au maunga, mi kwako teja ujue,
Kama unanizuga, utanivuruga, utafanya niugue…
Maana Halichachi (Oyeeh) Halichachi (Bando letu la mapenzi)
Yani Halichachi (Eyyeah) Halichachi (Yaani haliishi kamwemwe)
Penzi Halichachi (Ouhoo) Halichachi (Bando letu la mapenzi)
Penzi Halichachi (Eyeah) Halichachi
Jamani najichunga, najifunga, hunioni baby wee,
Tena nimejifunza, kujivunga, nisikufanye uugue,
Kama nimejidunga, au maunga, mi kwako teja ujue,
Kama unanizuga, utanivuruga, utafanya niugue…
Maana Halichachi (Ouhoo Ouhoo ouhoo) Halichachi (Bando letu la mapenzi)