
Kenyan Message Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Kenyan Message - Muthoni Drummer Queen
...
tangu ile siku tuku elect
hushikangi simu hatuwezi connect
nimekuwa nikisaka an appointment
nimekuwa nikisuffer disappointment
sikuhizi sisi hukuonaga kwa hoteli
sisi maubao wewe lunch hoteli
pang'ang'a pang'ang'a na mapottybelly
conmen,watchmen
wanakupangia wakikusalimia
Na wewe huwezi notice ata huwezi Shania
sikuhizi country yote venye kuna njaa
Kila mtu anafikiria tu chapaa
don't push me coz am close to the edge
am trying not to lose my head
ah!nikama drummer sometimes mi huwonder sijaenda under eh eh eh
Na wale wana dooh ni one percent
si huwaonaga siku ya kulipa rent
sisi hukuwaga ndani ya perdicament
biggest spender government
uncharged officials,na miracles zao also artificial,congregation wako so superficial
wanataka ule Mungu mupenda ficial
unofficial,kitambulisho
unaweza get in a few days
unaweza get in a few ways
unaweza get bila delay
si nowadays hosi hakuna madoctor
na gava haijali juu sisi wagonjwa
tukienda private tutapay
so ni obvious nani ana say
don't push me coz am close to the edge
am trying not to lose my head ah!
nikama drummer sometimes mi huwwonder mbona sijaenda under eh eh eh!
hakuna dooh ka mafuta ya warabu
lakini pia dooh kwa foota si ajabu
venye kuna self platinum wamepakua dooh ka buffet kwa platter
na venye sisi hupendaga news
na venye sisi hupeanga views,malikes,mashares kujiamuse na wao mafans my world is shoes
sikuhizi ni za social media , modern daily encyclopedia kufuata hawa ma socialites wakienda naija kusocialize
don't push me coz am close to the edge am trying not to lose my head ah!
nikama drummer sometimes mi huwwonder mbona sijaenda under eh eh eh
we can't breath no!