
Kenyan Message Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Kenyan Message - Muthoni Drummer Queen
...
[verse1]
tangu ile siku tuku-elect, haushikagi simu man tuwezi connect
nimekuwa nikisaka an appointment
nimekuwa niki-suffer disappointment
siku hizi sisi hukuonaga kwa telly
sisi maubao, wewe lunch hoteli
panganga panganga na ma-pot belly
conmen, watchmen wanakupangia wakikusalimia
na we huwezi notice hata huwezi dhania
siku hizi country yote venye kuna njaa
kila mtu anafikiria tu chapaa
[hook]
dont push me coz im close to the edge
im trying not to loose my head
{ni kama jungle sometimes mimi hu-wonder mbona sijaenda under} ×4
[verse 2]
na wale wana dooh ni one percent
si huwaonaga siku ya kulipa rent
sisi hukuwaga ndani ya predicament
biggest spender government and church officials
na miracles zao so artificial
the congregation wako so superficial
wanataka ule Mungu mu-beneficial
unofficial kitambulisho unaweza get in a few days
unaweza get in a few ways
unaweza get bila delays
nowadays hosi hakuna ma-doctor
na gava haijali juu sisi wagonjwa tukienda private tuta-pay
so ni obvious nani ana say
[hook]
dont push me coz am close to the edge
am trying not to loose my head
{ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under} ×4
[verse 3]
hakuna dooh ka mafuta ya Waarabu
lakini pia dooh kwa futa si ajabu
vile kina Sep Blatter wamepakuwa dooh ka bufett kwa platter
na vile sisi hupendaga news
na vile sisi hupeaga views, ma-likes, ma -shares, kuji-amuse
na world affairs, ma-world issues siku hizi ni za social media
modern daily, encyclopedia
kufuata hawa ma-socialite wakienda Naija ku-socialize
[hook]
dont push me coz im close to the edge
im trying not to loose my head
{ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under} ×4
[outro]
we cant breathe {no}
we cant breathe {no}
we cant breathe {heh}
we cant breathe {huh...}