
Mwambie Sina-Alikiba, Abdukiba, Cheed, K-2GA & Killy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mwambie Sina-Alikiba, Abdukiba, Cheed, K-2GA & Killy - Kings Music
...
Nafsi Ina lalama sina Mwambie
Kila Niki Mtazama kwakina kiukwel mwambie Silali Tena Ananipa Tabu Kwake me sina Hali me na mpenda Yey Tuu
ohhohoo Hooooo Sina aah Sina aaah Sina mwambie ye ndo dawa... dawa Sina dawa Sina aaah Sina mwambie ooh
(mwambie Sina wa kutamba naye.....Sina mie
mwambie Sina wa kuringa naye...Sina mie) *2
(kama gari mie ni mpatie yeye anijue
kama nyumba mie nipatie yeye anitabue)*2
nenda mwambie mimi Sina ooh wa kumpa Siri zangu anitunzie moyo
Tena mwambie mimi niko hoi mie nampenda haio io io io. mie napenda heshima