
Toto- Abdukiba, Cheed, Killy & K-2GA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Toto- Abdukiba, Cheed, Killy & K-2GA - Kings Music
...
Yeap! Yebaba! Uuuh…. Ahh moco Vijana wangu wa maskani mi nawakacha Story nyingi mi wanazoniopa mi nawakata Shori zigizaga zarizo za bamba ta Mi ndo nataka Mi ndo nataka Hee vijajana wangu mi nawakacha Story nyingi wanazonipa mi nawakata Shori zigizarizo za bamba ta Mi ndo nataka … Mi ndo nataka yeah
[CHORUS] Don’t you know Don’t you know that Umenikamata kamata Don’t you know Yaani don’t you know mama don’t you know Umenikamata kamata Don’t you know
Toto we toto unanidanganya danganya Kama Mtoto (Toto) Toto we toto unanidanganya changanya Kama Mtoto (Toto) Toto we toto unanidanganya akili Kama Mtoto (Toto) Toto we Mtoto ooh Kama Mtoto (Toto) Lololololoooo aaah (Mhhhh) Jaribu kuja kidogo Zama ndani tizama Usijelianzisha zogo Aya aaah ayayaaa yee Leo sitokwacha upotee Nikupeleke kwenye video Natena sitaki ukosee baby (Aaah) njoo utambe na ukidili Nasingle so siri utapotea My darling naamini Wakikubezabeza usijali I don’t care Wabaya ndo wanaona donge Wacha wanga wanywe vidonge Honey tulicheze lizombe Usizidishe kipimo cha pombe Nabembea, pepea bembea Bendera pepea Raha Zaidi ukibembea Bembea bendera pepea [CHORUS] Don’t you know Don’t you know that Umenikamata kamata Don’t you know (mmhh) Yaani don’t you know Mama don’t you know Unenikamata kamata don’t you know Toto we toto unanidanganya danganya Kama Moto (toto) Toto we toto unanichanganya changanya Kama Mtoto (toto) We Mtoto we Mtotoo unanivuruga akili Kama Mtoto (Toto) We Mtoto we Mtoto ooh Ayo yo yo ooh… Ayo yo yo ooh Kuna wenye majina Watakufwata we (fuata we) Sababu uko na mie Kuna wenye maradhi Watakufwata we sababu uko na mie Toto unanikomesha nnogesha ndatishaaa Mi napagawa kwa raha zako Nnazozipata kukuacha naogopa A ya ya ya Njooo basi njooo basi njoo Basi njooo (naiya) Njoo basi njoo (samia) Njoo basi basi njoo (naiya) Njooo basi njooo basi njoo Basi njooo (naiya) Njoo basi njoo (samia) Njoo basi basi njoo (naiya) Ohhh hoooo [CHORUS] Don’t you know Don’t you know that umenikamata kamata Don’t you know (Mhhh) Yaani don’t you know Mama don’t you know Umenikamata kamata Don’t you know Toto we toto unanidanganya danganya Kama Moto (toto) Toto we toto unanichanganya changanya Kama Mtoto (toto) We Mtoto we Mtotoo unanivuruga akili Kama Mtoto (Toto) We Mtoto we Mtoto ooh