
Dan Hela Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Dan Hela - AY (TZ)
...
Ay
Aya aya aah(melody continues)
chorus
Daniela inaonesha kabisa hupendi watu
sogea karibu bila wewe jua maisha si kitu
Daniela ooh ooh inaonesha kabisa hupendi watu
usije potea danielaa bila wewe jua maisha si kitu
verse 1
Nimekubamba nkakutongoza kila mmoja anakuhitaji uwe kwake mpaka wanakuvusha boda ili kwao we ulainike(ulainike)
shughuli ni watu na mimi si kiatu(Daniela)
nihaidi kitu usije niacha mtupu kila nikikuona moyo wangu haujiwezi(wezi)
na mimi siku moja nita enjoy lako penzi(Daniela)
muda mwingi nakuwaza nkiwa macho au kwa njozi(kwa njozi)
naamini siku moja nita enjoy lako penzi(Daniela)
Chorus
Daniela inaonesha kabisa hupendi watu
sogea karibu bila wewe jua maisha si kitu
Daniela ooh ooh inaonesha kabisa hupendi watu
usije potea Daniela bila wewe jua maisha si kitu aya yaa
Verse2
wengine unawafanya wanapaa
wengine chali miguu juu
wengine shida boom bye bye
wengine kila siku race tuu
(njoo we) unasakwa na wanaume
(njoo we) ndugu wanagombana si basi uchune
wote unaishi nao ni lazima ume aya aya aah
(vumba) nani asiependa vumba usipolisaka utakula pumba lenye ubani haliwezi vunda
tachunda
chorus
Daniela inaonesha kabisa hupendi watu sogea karibu bila wewe jua maisha si kitu
Daniela ooh ooh inaonesha kabisa hupendi watu
usije potea Daniela bila wewe jua maisha si kitu aya yaa
aya aya aya aya aya aah
aya aya aya aya aya aya