Yule Remix ft. Marioo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Yule Remix ft. Marioo - Ay Masta
...
Aiye iye iye
Huuu patam apoo
Aa yeyeyee
Kutoka Aloooo
Ety Nani Ana namba yake
Hapa kuna teni lime zagaa zagaa
Nan anapajua kwake
Oya hapa kuna teni limezagaa zagaa
Umbo lake pale Yanga anavaa aucho
Namba naneee
Kifuani kila saa anatembea na masaa
Saa sitaaa
moyoni mwangu uyu mama nimempa diarra
Namba Moja
kiukweli nimempenda ila ndosijui nifanyeje
(patamu apo)
kwenye mashuvu yake anatushimo ahh
(uku na uku)
kajaliwa sura kajaliwa shapu mashaallahh
(uku na uku)
Nimechoka kumuota usiku na weweseka ahhh
somebody mwambie me mwenzake nampenda walahi
(Yuleee)
nampenda sana jinsi alivyo
(Yulee)